Voter pour Wale Watu :
Voter pour Wale Watu :
Mbali ya ma inchi yote
Mbali ya Paris au Roma
Kuna watu masikini
Hawa liye hawa ombe
Wana itika tu vile
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Njo vile... kila siku
Waca ile maneno ya bule
Usiji liliye hali yako
We haujuwe umasikini
Hangaliya wale watu
Hawa liye hawa ombe
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Waca kabisa
Kuwaza kama weye
Haupashwe kujuwa
Mayisha yao
Juwa na siye
Siye mbali yao
Tuna weza kuwasayidiya
Kila siku
Aucun commentaire sur Wale Watu pour l'instant...
- Mama - 0 vue(s)
- Haya - 2 vue(s)
- Bwana c - 0 vue(s)
- Sina Mali Sina Deni - 1 vue(s)
- Leo Leya - 0 vue(s)
- Embargo - 1 vue(s)
- Mama Lusiya - 0 vue(s)
- Sous Le Charme - 0 vue(s)
- Mwana Wa Mama - 0 vue(s)
- Like An Angel - 1 vue(s)
- Damu Ya Salaam - 1 vue(s)
- Sambolera Mayi Son - 0 vue(s)
- Rosy - 0 vue(s)
- Save Us - 0 vue(s)
- Afrika Obota - 1 vue(s)
- Turasa - 0 vue(s)
- M'barik Fall - 1 vue(s)
- Mzee Mandela - 0 vue(s)
- Kembo - 1 vue(s)