Voter pour Embargo :
Voter pour Embargo :
leo nasaili
ju mimi sikuelewa mambo yale
unasema embargo
ni njiya ya kuleta amani kwangu
kwa vile naona
ni watu wanahangayika bure
unisamehe sana
ju mimi sione uzuri wake
bwana mukubwa
uje inazimiya
watu wanakufa na njala
wanatesera
inci inazimiya
inakosa dawa na cakula
ni amani gani
inaleta njala na maladi
bwana mukubwa
uje inazimiya
watu wanakufa na njala
wanatesera
Aucun commentaire sur Embargo pour l'instant...
- Haya - 7 vue(s)
- Rosy - 6 vue(s)
- Damu Ya Salaam - 2 vue(s)
- Afrika Obota - 4 vue(s)
- Bwana c - 3 vue(s)
- Kembo - 3 vue(s)
- Wale Watu - 2 vue(s)
- Sina Mali Sina Deni - 7 vue(s)
- Sous Le Charme - 2 vue(s)
- Mama Lusiya - 3 vue(s)
- M'barik Fall - 3 vue(s)
- Mzee Mandela - 0 vue(s)
- Sambolera Mayi Son - 2 vue(s)
- Mama - 4 vue(s)
- Save Us - 2 vue(s)
- Mwana Wa Mama - 1 vue(s)
- Turasa - 2 vue(s)
- Leo Leya - 2 vue(s)
- Like An Angel - 3 vue(s)