Voter pour Sambolera Mayi Son :
Voter pour Sambolera Mayi Son :
Duniya ile Sambolera
Oh ! wanayijifondeya
Duniya yetu Sambolera
Mbona wazimu... mayi
Watu wa duniya Sambolera
Oh ! wanajisondeka
Siyo wa mungu Sambolera
Oh ! ni watu... mayi
Watu wabaya Sambolera
Oh ! hawana uluma
Wanasema ji sema Sambolera
Duniya ni yao... mayi
Mungu akipenda Sambolera
Oh ! watagukumbuka
Wakupe njiya Sambolera
Oh ! ujaribu
Mbele ya mungu Sambolera
Oh ! watajibu aje ?
Watasema ju ya au ya mungu
Wameuwa corazon
Oh ! guerre ya mungu gani ?
Oh ! guerre ya rangi gani ?
Oh ! guerre rangi ya damu
Rangi ya damu
Rangi ni moja
Damu ni mingi Sambolera
Oh ! wanatesa watu
Ju mutu umoja Sambolera
Oh ! akitaka... mayi
Ni vita... son
Waca waseme Sambolera
Oh ! mayisha yako mbele
Watasema waseme Sambolera
Alakini corazon
Usitubiye
Ngoyela... son
Mayele
Oh ! Oh ! Oh !
Iye ! Iye ! Iye !
Ule wazimu usi wuogope...son
- Like An Angel - 2 vue(s)
- Turasa - 1 vue(s)
- Mwana Wa Mama - 1 vue(s)
- Mzee Mandela - 0 vue(s)
- Leo Leya - 1 vue(s)
- Sina Mali Sina Deni - 6 vue(s)
- Sous Le Charme - 2 vue(s)
- Kembo - 2 vue(s)
- Haya - 7 vue(s)
- Afrika Obota - 4 vue(s)
- M'barik Fall - 3 vue(s)
- Mama Lusiya - 2 vue(s)
- Embargo - 2 vue(s)
- Wale Watu - 2 vue(s)
- Bwana c - 3 vue(s)
- Damu Ya Salaam - 2 vue(s)
- Rosy - 5 vue(s)
- Mama - 4 vue(s)
- Save Us - 2 vue(s)