Sina Mali Sina Deni - Khadja Nin


Voter pour Sina Mali Sina Deni :
Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter
Tweeter

Paroles de Khadja Nin - Sina Mali Sina Deni


Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto

Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua

Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma

I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori

Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona

I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona

Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni

Imprimer Sina Mali Sina Deni - Khadja Nin

Video de Khadja Nin - Sina Mali Sina Deni

Commentaires sur Khadja Nin - Sina Mali Sina Deni

Aucun commentaire sur Sina Mali Sina Deni pour l'instant...

Commenter la musique de Khadja Nin - Sina Mali Sina Deni

D'autres titres de Khadja Nin

Thématique sur la chanson : Sina Mali Sina Deni de Khadja Nin

Haut de page