Haya - Khadja Nin


Voter pour Haya :
Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter
Tweeter

Paroles de Khadja Nin - Haya


Haya mpaka ulaya
Haya mpaka aziya
Ata kule amerika
Unalala mutoto njiyani
Unalala mutoto inje
Ni haya
Usi ulize jina yake vile
Ju yeye, tu yeye ule
Hana jina,
Yake amejiita haya
Mutoto wa haya
Wuko inje hauliye
Ulisha kuzoweleya
Ule umasikini
Ulitafuta msaidia
Ukamukosa
Unapashwa kuiba
Ju upate cakula
Mtoto wa haya
Haya anahangayika
Haya ni malaika
Haya kwa iyi duniya...
Kweli
Ina aca mutoto njiyani
Ina aca mutoto inje
Ni haya
Usi ulize jina yake vile
Ju yeye, tu yeye ule
Hana jina,
Yake amejiita haya
Mi siweze kusahabu
Maco yake
Ananihangaliya
We haya wangu
Mi nitakosa majibu
Siku uta ni uliza
Ju ya nini ni vile ?
Ju ya nini wewe ?

Imprimer Haya - Khadja Nin

Video de Khadja Nin - Haya

Commentaires sur Khadja Nin - Haya

Aucun commentaire sur Haya pour l'instant...

Commenter la musique de Khadja Nin - Haya

D'autres titres de Khadja Nin

Thématique sur la chanson : Haya de Khadja Nin

Haut de page