Nani Kama Mama - New Jay


Voter pour Nani Kama Mama :
Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter Voter
Tweeter

Paroles de New Jay - Nani Kama Mama


[Intro]

Yeah, this dedication kwa mama wote duniani
Mama anapotafuta, sio za kunywa beer ama kupatiya ma bwana
Lakini bwana,....
Mama, I love u

[Hook]

Nani mwema kama mama, hutomupata,
Nani mwema kama mama, hutomuona (x2)

[Verset 1]

Nani kama mama, kwa kweli hakuna kama mama,
Kwa mama mtoto anadeka, anapata anachotaka,
Anadekeshwa kila siku, kwa kweli hakuna kama mama
Mama anapoangaika, anatanga huku kule
Ili wanae wasiteseke
Mama wee, nani kama wewe, ....
Mama we, hakuna kama wewe

[Hook]

[Verset 2]

Mama alipo beba mimba, baba akamutupa,
Ndugu na marafiki, wakamutenga
Alivumiliya sana, hakuwaza kunitupa,
Tuliishi kwa shida, nani kama mama...

[Hook]

[ verset 3]

Wa mama (x2) mtoto anadekezwa,
Wa mama (x2) ananyamazishwa
Wa mama (x2) na anabembelezwa
Wa mama (x2) oooh, ooh
Wa mama (x2) anapata anachotaka
Wa mama (x2) na mapenzi uvumilivu,
Wa mama (x2) oh oh oooh mama, hey

[Hook]

Imprimer Nani Kama Mama - New Jay

Video de New Jay - Nani Kama Mama

Commentaires sur New Jay - Nani Kama Mama

Aucun commentaire sur Nani Kama Mama pour l'instant...

Commenter la musique de New Jay - Nani Kama Mama

D'autres titres de New Jay

Thématique sur la chanson : Nani Kama Mama de New Jay

Haut de page