Machungu - Chorale Des Jeunes Celpa Bagira




Sote wa ulimwengu tumepewa neema kwa kifo chake Yesu. Sasa

ni damu yake, ondoleo la dhambi za ulimwengu nzima!



- Aliteswa Bwana kwa'jili yetu sisi wanadamu ili t'okolewe:

Ili t'okolewe, Ili t'okolewe



R/ Machungu pia na mateso mengi, Bwana 'liyaona ni kwa'jili

yetu; pale Msalabani paitwapo Golgotha; Ulizisafisha dhambi

zetu zote; Damu 'maji vika tokea 'bavuni; Huruma.



Na waka mpeleka mpaka machinjoni; Mwokozi 'sulubiwa kama

mwana Kondoo.

Ilikuwa ni kuonyesha pendo lake Baba Mungu kwa wanadamu.

Kwa wanadamu, kwa wanadamu



Toka saa sita hadi saa tisa, giza 'kaingia ulimwengu nzima.

Akalia Bwana kwa sauti kuu Eloi Baba yangu! mbona

waniacha.

Mbona waniacha, mbona waniacha.



Yesu nkamisha malu nkamisha nkamisha malu nkamisha

Tchilobo cha mvita tchilobo

Yesu mukalenga, mukalenga wanyi mukalenga, mukelenga

Tchilobo tchilobo tchilobo cha mvita Ikwata magisi. Kwetu

kwata magisi ei ei ei....



Ili t'okolewe hehe, Ili t'okolewee



Yesu 'kakubali kuacha Mbingu na utukufu kaitika 'vaa mwili

wa dhambi

Kwa kupigwa kwa Yesu mimi nime pona



Le Meilleur de toute la Musique en Paroles, Chansons et Lyrics sur www.Paroles-Lyrics.fr